Mzee Small : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d herufi kubwa ---> ndogo, replaced: Waigizaji Filamu wa Tanzania → Waigizaji filamu wa Tanzania using AWB
Mstari 32:
Pia ameibuka na kitu kingine kiitwacho “Nani Kama Shule" huku akiwa amewashirikisha wakina [[Mzee Majuto|Majuto]], [[Kingwendu]] nawachekeshaji wengine wanaotamba sasa nchini Tanzania.
==Kundi binafsi na usanii wake==
Mzee Small anamiliki kundi lake la sanaa linalojulikana kama [[Afro Dance]] ambalo alilisajili mwaka 1994 kwenye [[ Baraza la Sanaa la Taifa]], BASATA, na kupata usajili rasmi mwaka huohuo wa 1994.
 
Pamoja na kuwa na uzoefu wa kisanaa, lakini bado hana mpango wowote ule wa kujiunga na kundi jingine, ila anachoweza kufanya ni kurekodi na wasanii wengine atakapoitwa kwa makubaliano maalum. Mzee Small alisema:
Mstari 59:
Pia aliwasifu akina Bambo, Kingwendu na wachekeshaji wengi ambao alisema wameonyesha vipaji vikubwa, “lakini sasa kinachotakiwa ni kwa mara kwa mara kubuni mbinu mpya ya uchekeshaji au uigizaji.
 
[[CategoryJamii:Waigizaji Filamufilamu wa Tanzania]]
[[CategoryJamii:Waliozaliwa 1955]]
[[CategoryJamii:Watu Walio Hai]]