Biofueli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.5.2) (roboti Nyongeza: simple:Biofuel
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Soybeanbus.jpg|thumb|Basi itumiayo biofueli kutokana na soya]]
[[File:Diesel prices.jpg|thumb|Katika nchi mbalimbali biofueli huuzwa kwa bei nafuu; hapa juu tangazo la biodiseli nchini Ujerumani]]
'''Biofueli''' ni [[fueli]] inayopatikana kutokana na masi ya [[mimea]] au viumbehai vingine. Tofauti na fueli [[kisukuku]] ambayo ni mabaki ya viumbehai ya miaka mingi iliyopita biofueli hutokana na masi iliyopatikana hai au iliyokaa muda kidogo tu.