Mshigi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa mpya
 
dNo edit summary
Mstari 20:
| spishi = Angalia katiba
}}
'''Mishigi''' ni [[ndege (mnyama)|ndege]] wadogo wa [[jenasi]] mbalimbali katika [[familia (biolojia)|familia]] [[Estrildidae]] ambao wanatokea [[Afrika]], [[Asia]] na [[Australia]]. Takriban spishi zote za Afrika ni ndege weusi au kahawia na weupe wenye pengine sehemu za rangi kali kama nyekundu, machungwa na njano. Spishi nyingi za Asia na Australia zina rangi kali kwa kipande kikubwa cha mwili. Ndege hawa hula [[mbegu]] hasa na [[mdudu|wadudu]] pia, hususa makinda. Tago lao ni tufe la [[nyasi|manyasi]] lenye mwingilio kwa kando. Jike huyataga [[yai|mayai]] 4-7.
 
==Spishi za Afrika==
Mstari 110:
[[is:Strildi]]
[[it:Estrildidae]]
[[sw:Kitenduli]]
[[lt:Astrildiniai]]
[[hu:Díszpintyfélék]]