Tofauti kati ya marekesbisho "Ncha ya kaskazini"

4 bytes added ,  miaka 9 iliyopita
no edit summary
== Ncha sumaku ya kaskazini ==
Ncha ya kuzunkuka dunia si sawa na ncha sumaku yaani mahali panapoonyeshwa na [[sumaku]] za [[dira]] dunia. Hapa ni kitovu cha kaskazini cha [[ugasumaku]] wa dunia.
 
Ncha sumaku hutembeatembea kama mwenzake huko kusini. Kwa sasa iko kati ya visiwa vya Kanada na ncha ya kijiografia. lakini iko mahali tofauti kila mwaka.