Furukombe : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.6.4) (roboti Nyongeza: pl:Haliaeetus
Nyongeza spishi
Mstari 11:
| oda = [[Falconiformes]] (Ndege kama [[kozi]])
| familia = [[Accipitridae]] (Ndege walio na mnasaba na [[mwewe]])
| nusufamilia = [[Haliaeetinae]] (Ndege walio na mnasaba na [[furukombe]])
| jenasi = ''[[Haliaeetus]]''
| bingwa_wa_jenasijenasi = ''[[Haliaeetus]]'' <small>[[Marie Jules César Savigny|Savigny]], 1809</small><br>
''[[Ichthyophaga]]'' <small>[[René-Primevère Lesson|Lesson]], 1843</small>
}}
'''Furukombe''', '''fukombe''', '''kwazi''', '''yowe''' au '''tai mlasamaki''' ni [[ndege (mnyama)|ndege]] mbua wa [[jenasinusufamilia]] ''[[HaliaeetusHaliaeetinae]]'' katika [[familia (biolojia)|familia]] [[Accipitridae]]. Ndege hawa ni baina ya [[tai]] wakubwa kabisa. Uzito wao unatofautiana kutoka kg 2 (furukombe wa Sanford) mpaka 9 (furukombe wa Steller). [[Unyoya|Manyoya]] yao yana rangi ya [[kahawa]] mpaka nyeusi lakini [[kichwa]], [[mkia]], [[kidari]] na [[tumbo]] ni nyeupe kufuatana na [[spishi]]. [[Furukombe wa Madagaska]], wa Sanford na wa Ulaya wana kichwa hudhurungi. Spishi zote zinatokea karibu na [[maji]] ama baridi au ya [[bahari]]. Hula [[samaki]] hasa lakini ndege wengine, [[mzoga|mizoga]] na mara kwa mara [[mnyama|wanyama]] wadogo pia. Hujenga tago lao kwa vijiti juu ya [[mti]] au mwamba. Jike hutaga [[yai|mayai]] 1-3.
 
==Spishi za Afrika==
Line 27 ⟶ 28:
* ''Haliaeetus pelagicus'' ([[w:Steller's Sea-eagle|Steller's Sea Eagle]])
* ''Haliaeetus sanfordi'' ([[w:Sanford's Sea-eagle|Sanford's Sea Eagle]])
* ''Ichthyophaga humilis'' ([[w:Lesser Fish Eagle|Lesser Fish Eagle]])
* ''Ichthyophaga ichthyaetus'' ([[w:Grey-headed Fish Eagle|Grey-headed Fish Eagle]])
 
==Picha==
Line 39 ⟶ 42:
File:Pallas's Fish Eagle ( Haliaeetus leucoryphus) 2.jpg|Pallas's fish eagle
File:Steller's_Sea_Eagle_-JurongBirdPark-Singapore-20081013.jpg|Steller's sea eagle
File:Lesser fish-eagle.jpg|Lesser fish eagle
File:Grey-Headed-Fish-Eagle Stephen Cooper cropped.jpg|Grey-headed fish eagle
</gallery>