Mnyamapochi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Sanduku la uainishaji
Masahihisho
Mstari 4:
| picha = Joey in pouch.jpg
| upana_wa_picha = 250px
| maelezo_ya_picha = Mtoto mchanga wa Kangaruukangaruu katika pochimbeleko akinyonya
| domeni =
| himaya = [[Mnyama|Animalia]] (Wanyama)
Mstari 22:
†[[Sparassodonta]]
}}
'''Marsupiala''' ni [[ngeli ndogoya chini]] ya [[mamalia]]. Ni wanayama wanaozaa wadogo wao katika hali changa sana yaani baada ya muda mfupi wa mimba. Baada ya kuzaa wanaendelea kubeba wadogo ndani ya mfuko au pochi[[mbeleko]] ya ngozi iliyopo nje ya mwili juu ya tumbo. Humo kuna maziwa ambako wadogo wanaweza kunywa ilhali wanatunzwa vizuri na kukaa joto. Kadri wadogo wanavyokua wanaanza kutazama mazingira kutoka pochimbeleko na pia wanaanza kutembea nje wakirudi tena pochinimbelekoni hadi wamefika umri wa kutosha wanaondoka.
 
Spishi zilizo nyingi ziko [[Australia]] na visiwa vya karibu kama [[New Zealand]]. Marsupialia wanaojulikana zaidi ni [[kangaruu]].
 
[[Picha:Kangaroo and joey03.jpg|thumb|left|180px|Kangaruu na ndama anayeangalia nje kutoka pochimbeleko ya mamake]]
==Orodha ya Marsupialia==
*[[Bandikuti]]