Rasi ya Magharibi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d robot Adding: ar:كيب الغربية
sahihisho dogo
Mstari 41:
Idadi ya wakazi ilikuwa 4,524,335 mwaka 2004. Zaidi ya nusu ya wakazi hutumia [[Kiafrikaans]] kama lugha ya kwanza (55,3%), takriban robo [[Kixhosa]] (23,7%) na karibu sehemu ya tano [[Kiingereza]] (19,3%). Lugha hizi tatu ni pia lugha rasmi za jimbo.
 
Eneo la jimbo lilikuwa chanzo cha Afrika Kusini ya kisasa. Historia imeonekana pia kati ya wakazi. Idadi kubwa ni watu wenye uzazi wa chotara hasa kati yawa Waafrika, Wazungu na Waasia waliopelekwa hapa kama watumwa katika [[karne ya 18]]. Kati ya Waafrika Weusi kundi kubwa ni Waxhosa. Wazungu ni wa asili ya Kimakaburu na Kiingereza hasa. Rasi Maghribi ina pia jumuiya kubwa ya Waislamu iliyoanzishwa na watumwa Waasia kutoka Asia Kusini-Magharibi.
 
==Jiografia==