Nile : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.6.4) (roboti Nyongeza: kbd:Нил
Matumizi wa maji ya Nile
Mstari 63:
 
* kuanzia Khartoum jina ni pekee Bahr an-Nil (mto wa Nile) hadi mdomo wake wa [[delta]] kwenye [[Mediteranea]].
 
==Matumizi wa maji ya Nile==
Tangu milenia maji ya Nile yamekuwa msingi wa maisha nchini [[Misri]] na pia kwa sehemu kubwa ya nchi ya [[Sudan]]i. Katika miaka ya 1920 Uingereza kama mtawala mkoloni wa Sudan na Misri walikuwa na majadiliano juu ya ugawaji wa maji ya mto na kufikia [[mapatano juu ya matumizi ya maji ya mto Nile ya 1929]].
 
Hadi leo Misri inadai ya kwamba mapatanao yale yanakataa ujenzi wa malambo na kuanzishwa kwa miradi ya umwagiliaji inayotumia maji ya Nile bila kibali cha serikali yake. Hapa Misri inadai ya kwamba nchi zote zilizokuwa koloni za Uingereza wakati ule zinafungwa na mapatano ya 1929 na hizi ni pamoja na Sudan, Uganda, Kenya, Tanzania halafu pia Ethiopia iliyopatana na Uingereza wakati ule. Nchi nyingine hazikubali na majadiliano juu ya mapatano mapya ya ushirikiano katika beseni ya Nile yanaendelea.
 
{{mbegu-jio-Afrika}}