Abjadi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '[[Picha:Abjad.PNG|thumb|300px|"al-ABJaDiya al-arabiya" ni namna ya Kiarabu ya kusema "ABC ya Kiarabu" <br />(A-B-J-D ni herufi nne za kwanza za alfabeti ya Kiarabu...'
 
No edit summary
Mstari 16:
Mwandiko wa abjadi wa kwanza ilikuwa herufi za [[Kifinisia]].
 
Abjadi za kisasa huwa na uwezekano kuandika vokali pia lakini zinachapishwa tu katika vitabu vya watoto wadogo wanaoanza kusoma au kwa maneno machache yenye matamshi tofauti lakini konsonanti sawa.
==Abjadi kama muundo wa mwandiki kwa lugha zisizo Kisemiti==
 
==Abjadi kama muundo wa mwandikimwandiko kwa lugha zisizo Kisemiti==
Kusoma mwandiko wa abjadi kunaleta matatizo zaidi kuliko kusoma alfabeti au abugida kwa sababu herufi zinaonyesha sehemu ya matamshi tu.