Simu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: als:Telefon
nyongeza kidogo
Mstari 1:
[[Picha:Alt Telefon.jpg|right|thumbnail|Simu]]
'''Simu''' ''(kutoka [[kar.]] <big>سیم</big> sim inayomaanisha "waya")'' ni chombo cha [[umeme]]. Mamtumizi ya simu, ni kwa ajili ya watu wawili waliokatika sehemu mbili tofauti na wanaweza kuongea. Bimaana ni chombo cha mawasiliano. Awali simu ilihitajika iuanganishwe na nyaya. Lakini leo hii simu inaweza kutumwa kwa kutumia [[redio]]. Hii nayo inaitwa [[nyayatupu]], [[siwaya]] au [[simu bila waya]].
 
Watu wengi wanaamini kuwa sumu iligunduliwa mnamo 1876 na [[Alexander Graham Bell]]. Alikuwa mtu mwenye umri wa miaka 29 aliyeishi nchini Marekani akiwa kama [[Uskoti|Muuskoti]]. Lakini [[Antonio Meucci]] alianzisha na kuanza kutoa matumizi ya simu toka kunako mwaka wa 1871 huko Marekani.