Kiyunani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ar:كوينه
nyongeza kidogo
Mstari 1:
'''Kiyunani''' - jina hilo ni la Kiswahili cha kalezamani kwa "[[Kigiriki]]", ambayo ni lugha ya nchi ya [[Ugiriki]] ("Uyunani") au tabia za [[Wagiriki]] ("Wayunani").
 
Neno la Kiswahili cha zamani limetokana na lugha ya Kiarabu <big>يونان</big> ''yunan'' na hapa ilitaja kiasili Wagiriki wa eneo la [[Ionia]] au wa kabila la Ioni walioishi kwenye pwani la mashariki la [[Bahari ya Aegei]].
Neno la kale limetokana na lugha ya Kiarabu اليونان likatumikiwa hasa katika matoleo mbalimbali ya Biblia. Miaka ya nyuma neno la "Kigiriki" likasambaa zaidi, kutokana na athira ya Kiingereza kinachotumia "Greek" kutokana na tamko ya Kilatini "Graeci" ambayo ni kawaida katika lugha nyingi za Kiulaya. Wanaotajwa wenyewe hujiita "Helleni", lugha yao "Helleniki".
 
NenoLeo lahii kalesi limetokana na lugha yakawaida Kiarabusana اليونانlakini likatumikiwainapatikana hasa katika matoleo mbalimbali ya [[Biblia]]. Miaka ya nyuma neno la "Kigiriki" likasambaa zaidi, kutokana na athira ya Kiingereza kinachotumia maneno "Greece, Greek" kutokana na tamko yakutoka [[Kilatini]] "Graeci" ambayo ni kawaida katika lugha nyingi za Kiulaya. Wanaotajwa wenyewe hujiita "Helleni", lugha yao "Helleniki".
 
{{DEFAULTSORT:Yunani}}