Vita ya Korea : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: jv:Perang Korea
nyongeza UM
Mstari 9:
 
=== Kuingilia kati kwa Umoja wa Mataifa na Marekani ===
[[30 Julai]] [[1950]] [[Baraza la Usalama la UM]] iliamua kuingilia kijeshi dhidi ya uvamizi kutoka Korea Kaskazini. Azimio hii lilipita kwa sababu Umoja wa Kisovyeti hukuhudhuria kikao hivyo ulishindwa kupiga [[veto]] yake. Jeshi lililoingia kwa niaba ya Umoja wa Mataifa liliunganisha vikosi kutoka nchi 22, jumla askari 500,000 na wengi wao kutoka Marekani.
 
Katika awamu ya pili jeshi la Umoja wa Mataifa lilifika Pusan kuanzia Agosti 1950. Ndege za Marekani zilishambulia barabara, madaraja na jeshi la kaskazini kote kwenye rasi. Korea ya Kaskazini ilikosa ndege za kijeshi. Jeshi la Marekani na Korea Kusini lilelekea kaskazini kwa mbo na kuteka Seoul tena tar. [[21 Septemba]] 1950. Likaendelea kuwarudisha Wakorea wa Kaskazini pia kuteka mji mkuu wa kaskazini [[Pyonyang]] tar. [[19 Oktoba]] hadi kukaribia mpaka wa Korea na China kuanzia mwisho wa mwezi wa kumi 1950.
[[Picha:Korean War bombing Wonsan.jpg|thumb|250px|Mashambulio ya ndege za Marekani katia Korea ya Kaskazini]]