Finisia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 10:
Mtaalamu Mgiriki [[Herodot]] aliandika ya kwamba miji ya kwanza yalipatikana Finisia tangu mwaka 2750 [[KK]]. Kumbukumbu za Kimisri zinaonyesha ya kwamba watawala wa "fenchu" yaani Finisia walijulikana tayari manmo mwaka 2000 KK.
 
[[picha:Transport of cedar Dur Sharrukin.jpg|thumb|Usafiri wa miti ya mwerezi kutoka [[LibanoniLebanoni]] kwenda [[Mesopotamia]]; picha ya kuchongwa katika jumba la mfalme [[Sargon II]] wa Ashuru (mwisho wa karne ya 8 KK)]]
 
Mnamo karne ya 15 KK [[dola-miji]] za [[Sidon]], [[Tyros (mji)|Tyros]] na [[Byblos]] zilianzishwa zilizoendelea kuunda miji koloni kote kwenye pwani za Mediteranea.