Vatikani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: rmy:Vatican
ondoa kiungo
Mstari 85:
 
== Serikali ==
Mkuu wa Dola ni Papa mwenyewe, kwa sasa [[Benedikto XVI]] ([[Josef Ratzinger]]). Nafasi yake ni kama [[mfalme]] wa kuchaguliwa asiyebanwa na katiba au masharti yoyote. Mambo ya utawala yako mkononi mwa gavana anayeteuliwa na Papa pia.
 
Vatikani ina [[uhusiano wa kibalozi]] na nchi 177 duniani kote.