Zinki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.6.3) (roboti Nyongeza: hif:Zinc
No edit summary
Mstari 24:
Hupatikana ndani ya madini haitokei kiasili kama elementi tupu. Huchimbwa hasa [[China]], [[Peru]], [[Australia]], [[Kanada]], [[Marekani]], [[Meksiko]] na [[Afrika Kusini]].
[[Picha:Torun kosciol garn dach.jpg|thumb|left|150px|Mabati ya paa huhitaji zinki]]
Matumizi ya zinki ni takriban tani milioni 11 kwa mwaka (2006). Takriban nusu yake ni kwa kuzuia [[ubabuzi]] (kutokea kwa kutu) wa [[mabati]] au vifaa vingine vya [[chuma]] kwa njia ya [[galvania]] n.k..
 
Menginevyo hutumiwa katika [[aloi]] kama [[shaba nyeupe]] na hasa kutengeza [[beteri]].