Breki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '[[Image:Bremsanlage.jpg|thumb|300px|Breka ya sahani ya motokaa; sahani ni sehemu ya habi ya gurudumu na tairi inafungwa hapa. Sehemu nyekundu ina viatu vya breki n...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Bremsanlage.jpg|thumb|300px|Breka ya sahani ya motokaa; sahani ni sehemu ya habi ya gurudumu na tairi inafungwa hapa. Sehemu nyekundu ina viatu vya breki ndani yake vinavyoshika sahani kama dereva anakanyaga pedali]]
[[Picha:Fahrrad01Breki baisikeli zamani.jpg|thumb|Breki ya baisikeli yenye uwezo mdogo; kiatu cha breki husukumwa kwa nguvu ya wenzo wa mkono kutoka juu moja kwa moja kwenye tairi; breki aina hii inaweza kulegea haraka na hasa wakati wa mvua kiatu kinaweza kuteleza juu ya tairi]]
'''Breki''' ni kifaa kinachopunguza kasi ya injini au kuisimamisha. Neno latumiwa hasa kwa breki kwenye vvyombo vya usafiri vyenye magurudumu kama [[treni]], [[baisikeli]], [[pikipiki]] au [[motokaa]].