Ulimwengu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.5.5) (roboti Ondoa: tt:Космос
No edit summary
Mstari 17:
Ulimwengu hutazamiwa na mikono mbalimbali ya sayansi na utaalamu.
 
[[FalakiAstronomia]] ni sayansi inayotumia elimu ya fizikia na kemia kwa kutazama, kupima na kuchungulia vitu kwenye anga la nje. Mkono mmoja wa falakiastronomia unaoshirikiana zaidi na falsafa ni kosmolojia inayoangalia hasa asili ya ulimwengu kulingana na kanuni asilia.
 
Mkono wa pekee ya [[biolojia]] inatafakari nafasi za uhai nje ya dunia yetu kwa kushirikiana na falakiastronomia.
 
[[Falsafa]] pamoja na sayansi mbalimbali inauliza maswali juu ya tabia na sifa za dunia na matatozo ya kuitambua.
Mstari 27:
 
== Ukubwa na umri wa ulimwengu ==
FalakiAstronomia na kosmolojia zimekadiria umri na ukubwa wa ulimwengu jinsi ulivyo kuwa kubwa sana. Kwa kutumia kipimo cha [[mwaka wa nuru]] kunakadiriwa ya kwamba ulimwengu una rediasi ya miaka ya nuru angalau bilioni 78.
 
Umri wa ulimwengu hukadiriwa kwa sasa kuwa miaka bilioni 13.7. Hesabu hii iananza kwenye mlipuko mkuu wa asili ambayo ni [[nadharia]] inayotumiwa na wataalamu wengi.
Mstari 36:
{{mbegu-sayansi}}
 
[[Jamii:Falakiastronomia]]
[[Jamii:Ulimwengu]]