Anga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 9:
 
==Anga la Nje==
Anga halina mwisho. Pale tunapojadili sehemu kubwa iliyoko nje ya angahewa tunaweza kuita [[anga la nje]] na hii ni upeo wa [[mwezi]], [[sayari]], [[jua]] na [[nyota]]. Sayansi ya [[falakiastronomia]] inaifanyia utafiti. Anga la nje ni karibu tupu pasipo magimba ya angani au vumbi. Lakini inajaa mnururisho wa aina mbalimbali na kani kama [[graviti]].
 
==Anga na mbingu==