Alfa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: war:Alpha
No edit summary
Mstari 6:
Jinsi ilivyo kawaida na herufi mbalimbali za kigiriki inatumiwa kama kifupi kwa ajili ya dhana mbalimbali katika [[hesabu]] na [[fisikia]]. Imejulikana hasa kama jina la pembe ya kwanza katika [[pembetatu]].
 
Katika [[falakiastronomia]] inatumiwa kuanza hesabu ya [[nyota]] katika [[kundinyota]]. Kwa mfano nyota yetu jirani katika ulimwengu inaitwa "[[Alfa Centauri]]". Imeitwa hivyo kwa sababu inang'aa kushinda nyota zota za kundinyota ya Centaurus. Inayofuata ni "beta Centauri" na kadhalika.
 
Alfa ikiwa herufi ya kwanza ya alfabeti ya Kigiriki hutumiwa pia kwa kutaja mwanzo. Hivyo ni kinyume cha mwisho au [[omega]]. Usemi wa Biblia hujulikana kuhusu Mungu kuwa ni "Alfa na Omega, mwanzo na mwisho" (Ufunuo wa Yohane 21:6).