Mtini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.6.4) (roboti Badiliko: cu:Сѷкоморїꙗ
Sanduku la uainishaji
Mstari 1:
{{Uainishaji (Mimea)
[[Picha:Ficus carica Feigen am Baum 001.JPG|thumb|250px|Matini mtini]]
| rangi = lightgreen
'''Mtini''' (Ficus Cariza) ni mti mkubwa, kama kichaka au mdogo wenye asili ya kusini magharibi mwa [[Asia]] na pande za mashariki mwa Mediterania (kutoka Afganistani mpaka Usiriki). Huwa na kilimo cha mita 6.9 mpaka 10, na shina laini la kijivu. Majani yana urefu wa sm 12-15 kwa urefu na sm 10 -18 kwa upana, yakiwa yamegawanyika katika vipande vitatu au vitano. Matunda yake, tini huwa na urefu wa sm 3-5 na ngozi ya kijani, wakati mwingine huwa na kuwa ya zambarau au kahawia. Majimaji ya tini huwasha ngozi ya binadamu.
| jina = Mtini<br />(''Ficus carica'')
| picha = Ficus carica 01 by Line1.jpg
| upana_wa_picha = 250px
| maelezo_ya_picha = '''Mtini'''
| himaya = [[Plantae]] ([[Mmea|Mimea]])
| divisheni_bila_tabaka = [[Angiospermae]] (Mimea inayotoa maua)
| ngeli_bila_tabaka = [[Eudicots]] (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
| oda_bila_tabaka = [[Rosids]] (Mimea kama [[mwaridi]])
| oda = [[Rosales]] (Mimea kama mwaridi)
| familia = [[Moraceae]] (Mimea iliyo na mnasaba na [[mforosadi]])
| jenasi = ''[[Ficus]]''
| bingwa_wa_jenasi = [[Peter Friedrich Röding|Röding]]
| spishi = ''[[F. carica|Ficus carica]]''
| bingwa_wa_spishi = [[Carolus Linnaeus|L.]]
}}
'''Mtini''' (''Ficus Carizacarica'') ni mti mkubwa, kama kichaka au mdogo wenye asili ya kusini magharibi mwa [[Asia]] na pande za mashariki mwa Mediterania (kutoka Afganistani mpaka Usiriki). Huwa na kilimo cha mita 6.9 mpaka 10, na shina laini la kijivu. Majani yana urefu wa sm 12-15 kwa urefu na sm 10 -18 kwa upana, yakiwa yamegawanyika katika vipande vitatu au vitano. Matunda yake, tini huwa na urefu wa sm 3-5 na ngozi ya kijani, wakati mwingine huwa na kuwa ya zambarau au kahawia. Majimaji ya tini huwasha ngozi ya binadamu.
 
Kilimo matumizi, mtini hulimwa kwa ajili ya matunda yake yanayoliwa kwanzia sehemu za asili za Mediterania, Iran na kaskazini mwa Uhindi. Pia hupatikana maeneo haya hasa huko Marekani, Mexiko, Chile, Australia na Afrika ya kusini. Tini hupatikana pia kwenye maeneo ya joto, kama Hansari, na huchumwa mara mbili au tatu kwa mwaka. Tunda hili limekuwa chakula kwa watu wengi kwa miaka zaidi ya elfu na liliaminika kuwa vina virutubisho. Tini inayoliwa ni miongoni mwa mimea ya mwanzo kabisa na binadamu kwaajili yakula kwa mabaki tisa ya tini yanayoonyesha yalikuwepo 9400-9200 [[KK]]. Pengine hata mawazo ya kilimo ndio yalikuwa ndo yanaanza wakati huo na husemwa kwamba mimea mingi kama vile ngano, shairi nk.
Line 14 ⟶ 30:
Tini ni moja ya mimea yenye kiasi kikubwa cha kalsiam na makapi. Tini iliyokaushwa kuwa na kiasi kikubwa cha makapi, shaba, mangamizi, magniziamu, potasiamu kalsiamu na vitamin k, kulingana na mahitaji ya binadamu. Huwa na kiwango kidogo cha virutubisho vingine. Katika tafiti moja, gram 40 tu za tini iliyokaushwa kuongeza uwezo kwa kiasi kikubwa cha plazma antioksidanti mwilini.
 
==Picha==
[[Jamii:Miti]]
<gallery>
File:Ficus carica mit Fruchtansatz.JPG|Majani
[[Picha:Ficus carica Feigen am Baum 001.JPG|thumb|250px|Matini mtini]]
File:Ficus carica 006.JPG|Matini mabivu
File:Feige-Schnitt.png|Tini lililokatika
</gallery>
 
[[Jamii:Mforosadi na jamaa]]
[[Jamii:Mimea ya Biblia]]