Miundombinu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: simple:Infrastructure
nyongeza kidogo
Mstari 1:
[[File:401 Gridlock.jpg|thumb|Barabara ni sehemu muhimu ya muundombinu wa kila nchi]]
 
'''Miundombinu''' ([[Ing.]]'''''infrastructure''''') ni neno la kutaja jumla la vifaa vya kiteknolojia, majengo na njia za mawasiliano zinazoundainayounda muundo wa nje wa mji, dola au nchi na maisha ya wananchi wake. Vifaa vya muundombinu ni msingi wa uchumi. Kwa jumla ni vitu vya kudumu miaka mingi.
 
Pamoja na vifaa vya kiteknoljia kuna pia aina ya miundombinu ya kijamii unaoonekana katika upatikanaji wa elimu, huduma za afya, polisi na mahakama, pamoja na jumuiya za watu ndani ya jamii zinazotoa huduma kwa mfano makanisa, jumuiya za msikiti au mahekalu, shirika zisizo za serikali. Kwa mtazamo huo miundombinu ya kijamii ya kimsingi ni familia na ukoo.
Nchi za kisasa huwa na muundombinu wa
 
Nchi za kisasa huwa na muundombinumiundombinu waya
* [[barabara]] na ma[[daraja]]
* [[reli]] na [[mifereji]]
* [[uwanja wa ndege]] na ma[[bandari]]
* [[nishati]] na [[umeme]] (uzalishaji na usafirishaji)
* [[maji]] (mabomba ya maji safi na pia kwaya maji machafu)
* vituo vya afya (ma[[hospitali]], upatikanaji wa madaktari na madawa)
* [[elimu]] ([[shule]], walimu, vyuo, usafiri wa wanfunzi)