Georges Charpak : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d kuondoa herufi kubwa na kuweka ndogo, replaced: Watu Walio Hai → Watu walio hai using AWB
-watermark
Mstari 1:
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[File:CHARPAK Georges-24x50-20052005b.jpg|360px|thumb|Georges Charpak ''(2005)'']]
'''Georges Charpak''' ([[1 Agosti]], [[1924]] - [[29 Septemba]] [[2010]]) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya [[Poland]]. Baadaye, alihamia na kufanya kazi [[Ufaransa]]. Hasa alibuni vifaa kwa ajili ya kugundua na kuchunguza sehemu za [[atomu]]. Mwaka wa [[1992]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]]'''.