Rasi ya Sinai : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d Masahihisho aliyefanya 71.7.235.207 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na EmausBot
Mstari 1:
[[Picha:Sinai Peninsula from Southeastern Mediterranean panorama STS040-152-180.jpg|thumb|right|Rasi ya Sinai, [[Ghuba ya Suez]] (magh.), [[Ghuba ya Aqaba]] (mash.) inavyoonekana kutoka angani]]
 
'''Rasi ya Sinai''' ([[Kiar.]]: sina' سيناء) ni [[rasi]] yenye umbo la pembetatu nchini [[Misri]] upande wa kaskazini ya [[Bahari ya Shamu]] inayounganisha bara za [[AfricaAfrika]] na [[Asia]]. Inahesabiwa kuwa sehemu ya mwisho wa Asia ya Magharibi.
 
Eneo la Sinai ni takriban 60,000 km² hasa [[jangwa]]. Imepakana na [[Ghuba ya Suez]] upande wa magharibi na [[Ghuba ya Aqaba]] upande wa mashariki. Upande wa magharibi [[Mfereji wa Suez]] unaunganisha Bahari ya Shamu na [[Mediteranea]]. Kaskazini ya mwisho wa Ghuba ya Aqaba ni mpaka kati ya Misri na [[Israel]] au Tabaa-Rafah Staights na Negev.
 
Mahali panapojulikana zaidi ndani ya eneo al rasi ni [[mlima Sinai]] (pia: mlima Horeb, jabal Musa) unaoaminiwa ni mahali ambako [[Musa]] alipokea [[amri kumi]] za [[Mungu]].