Protista : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: ro:Protista
nyongeza kidogo
Mstari 1:
[[Picha:Protist collage.jpg|thumb|300px|Protista]]
'''Protista''' ni kundi la [[viumbehai]] vidogo sana ambavyo mara nyingi huwa na [[seli]] moja au seli chache tu. HavionekaniMara nyingi havionekani kwa jicho tupu bali kwa [[hadubini]] tu isipokuwa zikitokea kwa uwingi mkubwa.
 
Mifano ya protista ni [[algae]] (mwani), [[amiba]] na aina za [[kuvu]]. Vilivyo vingi huishi baharini au ndani ya viumbe vingine; kwa hiyo vingine vinaonekana kama chanzo cha magonjwa.