Dinosauri : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Masahihisho
Mstari 1:
{{Uainishaji
| rangi = #D3D3A4
| jina = DinosauDinosauri
| picha = Saurier2.jpg
| upana_wa_picha = 250px
Mstari 9:
| ngeli = [[Sauropsida]] (Wanyama wanaofanana na watambaazi)
| nusungeli = [[Diapsida]] (Wanyama wenya mashimo mawili kando la fuyu la kichwa)
| oda ya juuoda_ya_juu = [[Dinosauria]] (Wanyama kama '''dinosaudinosauri''')
| subdivision = 2 Orders:
| nusuoda =
* Ornithischia
| familia =
* Saurischia
| nusufamilia =
| jenasi =
| bingwa_wa_jenasi =
| spishi =
| bingwa_wa_spishi =
}}
'''Dinosauri''' (kutoka [[Kigiriki]] δεινός'' deinos – "ya kutisha"'', σαῦρος ''sauros "mjusi"''; pia: '''dinosau, dinosari''') walikuwa kundi la [[reptilia]] wakubwa sana walioishi duniani miaka mamilioni iliyopita.
[[Picha:Trex1.png|thumb|left|Kulinganisha ukubwa wa [[tiranosauri]] na [[binadamu]].]]
 
Wataalamu huamini ya kwamba dinosaudinosauri walitokea miaka milioni 230 iliyopita wakatoweka ghafla miaka 65 iliyopita. [[Ndege]] hutazamiwa kuwa katika [[nasaba]] ya dinosaudinosauri.
 
Ujuzi kuhusu [[wanyama]] hao unatokana na [[visukuku]] vyao (mabaki ambayo yamekuwa [[mawe]]) kama vile [[mfupa|mifupa]], [[wayo|nyayo]], ma[[yai]] au [[samadi]]. Visukuku vya dinosau vimepatikana kwenye ma[[bar]]a yote hata [[Antaktika]] kwa sababu waliishi wakati mabara yote yalikuwa bado pamoja kama bara kubwa asilia la [[Pangaia]].
Line 33 ⟶ 29:
Wala nyama walikimbia kwa [[miguu]] miwili ya nyuma jinsi wanavyofanya watu lakini pia [[majusi]] kadhaa za leo.
 
Kulikuwa pia na reptilia wakubwa walioruka hewani walioitwa [[pterosauri]], lakini kinasaba hawakuwa karibu sana na dinosaudinosauri.
 
Wengine wakubwa waliishi [[bahari]]ni kama [[ikhtiosauri]] na [[plesiosauri]]; hata hao walikuwa kundi lingine.