Dodoma (mji) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Ondoa: nap:Dodoma
d Fix langos and minor fixes using AWB
Mstari 34:
 
== Historia ==
[[Picha:Dodoma_CathedralDodoma Cathedral.JPG|left|thumb|250px|Kanisa Kuu la Anglikana, Dodoma Mjini]]
Dodoma ilianzishwa wakati wa [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani|ukoloni wa Kijerumani]] kama kituo kwenye reli ya kati penye karahana ya reli. Tangu 1912 imekuwa makao makuu ya mkoa. 1913 Dodoma ilikuwa na posta, simu, hoteli na maduka 26 (moja ya mzungu, mengine ya Wahindi na Waarabu). Kikosi cha polisi kilikuwa na askari 59.
 
Mstari 40:
 
== Tazama pia ==
{{portalLango|Tanzania|Flag of Tanzania.svg}}
* [[Chuo Kikuu cha Dodoma]]
 
 
[[Jamii:Dodoma|*]]