Ulaya ya Kati : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.6.1) (roboti Badiliko: ckb:ئەورووپای ناوەڕاست
d Fix langos and minor fixes using AWB
Mstari 1:
[[Picha:Central Europe (a).png|thumb|right|250px|Ulaya ya Kati]]
'''Ulaya ya Kati''' ni kanda ya bara la [[Ulaya]] iliyopo baina ya [[Ulaya ya Mashariki]] na [[Ulaya ya Magharibi]].
 
Katika mpangilio wa [[Umoja wa Mataifa]] unaofuata kawaida ya miaka ya [[Vita baridi]] hakuna Ulaya ya Kati kwa sababu wakati ule kitovu cha Ulaya kiligawiwa kisiasa kati ya mashariki ([[Umoja wa Kisovyeti]]) na magharibi ([[NATO]]). Hata hivyo kiutamaduni watu wa sehemu zile hawajisikii kama watu wa Ulaya ya Magharibi wala Mashariki.
Mstari 19:
Kuna majadiliano kuhusu mipaka ya kanda hili yasiyokwisha bado, kwa mfano swali la [[nchi za Kibalti]] kama [[Latvia]].
 
{{Lango|Ulaya|Europe green light.svg}}
 
[[Jamii:Ulaya]]