Biashara : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: rue:Бізніс, zh-min-nan:Khì-gia̍p
d Fix langos and minor fixes using AWB
Mstari 1:
'''Biashara''' (pia '''kampuni''') ni [[shirika]] linalotambuliwa kisheria ambalo limeundwa kwa ajili ya kuunda au kuuza [[bidhaa]] na / au [[huduma]] kwa [[wateja]] s. <ref>{{citeCite book
| last = Sullivan
| first = arthur
Mstari 10:
| pages = 29
| url = http://www.pearsonschool.com/index.cfm?locator=PSZ3R9&PMDbSiteId=2781&PMDbSolutionId=6724&PMDbCategoryId=&PMDbProgramId=12881&level=4
| doi =
| id =
| isbn = 0-13-063085-3}}</ref> Biashara zinapatikana sana katika [[uchumi wa kibepari,]] nyingi zikiwa zinamilikiwa na mtu binafsi kwa ajili ya kupata faida ambayo itaongeza [[mali]] ya wamiliki wake na kuikuza biashara yenyewe. Wamiliki na wahudumu wa biashara huwa na lengo mojawapo kuu kama kupata mapato ya kifedha kutokana na kazi wanayoifanya napia kwa sababu ya kukubali kujiingiza kwenye hatari ya kufanya biashara. Baadhi ya kampuni ambazo malengo yake siyo kama yale yaliyosemwa hapo juu ni kama [[vyama vya ushirika]] na [[kampuni zinazomilikiwa na serikali]] s. Biashara pia inaweza kuanzishwa bilakusudi la [[kupata faida]] au [[biashara inayomilikiwa na serikali]].
 
[[Jina]] "biashara" inahusiana na hali ya kuwa na shughuli ya kufanya aidha kama mtu binafsi au jamii kwa ujumla, kazi ambayo ina uasaidizi kiuchumi na kibiashara. Neno "biashara" ina takribani Matumizi matatu, kutegemea na upeo - matumizi kwa umoja (juu) kwa maana ya [[kampuni]] fulani au [[shirika]], matumizi ya upana kurejelea [[sekta ya soko]] fulani, kama vile "biashara ya muziki" au maana pana zaidi kujumuisha shughuli zote katika jamii ya wauzaji wa bidhaa na huduma. Hata hivyo,ufafanuzi wa biashara, kama kiasi kingine katika [[falsafa ya biashara]], ni suala la mjadala.
 
==Umiliki wa Biashara==
Mstari 20:
 
* '''''' Biashara ya mtu binafsi:Hii ni biashara inayomilikiwa na mtu mmoja. Mmiliki anaweza kuiendesha biashara hii yeye binafsi au pia anaweza kuwaajiri wafanyikazi kumsaidia. Mmiliki wa biashara ina [[dhima]] ya binafsi ya madeni inayodaiwa biashara.
* '''Biashara ya Ushirikiano:''' Hii ni aina ya biashara inayomilikiwa na watu wawili au zaidi kwa pamoja. Katika aina nyingi za ushirikiano , kila mmiliki ana dhima ya binafsi ya madeni yanayodaiwa biashara yao.
* '''Kampuni:''' Hii ni aina ya biashara ambapo wamiliki wa biashara zenyewe hawana dhima ya kibinafsi ya madeni ya biashara yenyewe. Biashara inaweza kuwa ya kutafuta faida au isiwe ya kutafuta faida. Kampuni nyingi zinamilikiwa na wenye hisa na shughuli zake husimamiwa na [[bodi ya wakurugenzi,]] ambayo huwaajiri wasimamizi wa biashara yenyewe. Pia kuna [[kampuni zinazomilikiwa na serikali]] mbali na ziole zinazomiliokiwa na watu binafsi.
* '''Vyama vya Ushirika:''' Vyama vya Ushirika ni aina ya biashara ambayo pia kama kampuni wamiliki wake hawana dhima ya kibinafsi kwa madeni ya biashara ambayo lengo lake ni kutafuta faida au isiwe ya kutafuta faida. Vyama vya Ushirika hutofautiana na kampuni kwa kuwa vina wanachama, kinyume na wenye hisa katika kampuni, ambao hushirikishwa katika maamuzi ya chama chenyewe. Vyama vya ushirika kwa kawaida hugawanywa kama[[Vyama vya Ushirika vya wateja]] au [[Vyama vya Ushirika vya Wafanyikazi]] . Vyama vya ushirika ni mojawapo ya misingi wa itikadi ya [[demokrasia ya kiuchumi]].
Mstari 28:
==Aina za Biashara==
[[File:View of Wall Street.jpg|thumb|250px|Wall Street, Manhattan ni eneo la New York Stock Exchange na ni mara nyingi hutumika kama ishara kwa ulimwengu wa biashara.]]
 
 
Kuna aina nyingi za biashara, na kwa sababu hiyo, biashara ni huwekwa kwenye makundi kwa kutumia njia nyingi. Moja ya aina hizi inalengab shughuli za msingi za kibiashara zinazozalisha faida kwa biashara yenyewe:
Line 38 ⟶ 37:
* Biashara [[isiyohamishika]] huzalisha faida kutokana na kuuza, kukodisha, na maendeleo ya mali, nyumba, na majengo.
* [[Wauzaji wa bidhaa za rejereja na wasafirishaji wa bidhaa zenyewe]] huingilia kati shughuli ya kuzitoa bidhaa kutoka kwa watengenezaji hadi kwa wateja,na kuzalisha faida kutokana na mauzo au usambazaji na kutoa huduma. WEngi wa wanabiashara wanaoshughulikia wateja moja kwa moja ni wasafirishaji wa bidhaa au wauzaji wa rejareja. ''Angalia pia:'' [[Franchising]]
* [[Biashara za kutoa Huduma ]] ni biashara ambazo hupata faida yake kutokana na kutoa huduma fulani kwa wateja wake. Mashirika kama vile makampuni ya ushauri, mikahawa na hata watumbuizaji ni aina ya biashara za huduma .
* [[Biashara ya Usafiri]] ni biashara ambayo hupata faida yake kupitia kuwasafirisha watu na bidhaa kutoka mahali pamoja hadi mahala pengine.
* Pia kuna makampuni yanayotoa huduma ya umma, kama vile joto, umeme, au uzoaji taka, na kwa kawaida huwa ni mashirika ya kiserikali.
 
Kuna mingawanyiko mingine mingi ya aina za biashara.
 
==Usimamizi==
Ufanisi na umafanikio ya [[uendeshaji wa biashara,]] na kujifunza somo hili, huitwa [[usimamizi.]] Matawi makuu ya usimamizi ni [[usimamizi wa fedha, usimamizi wa masoko, usimamizi wa rasilimali za binadamu, usimamizi wa mikakati , usimamizi wa uzalishaji ,]] usimamizi wa huduma ,na [[usimamizi wa teknolojia ya habari]].
 
===Kurekebisha Mashirika ya Kitaifa===
Katika miongo ya hivi karibuni, mali na makampuni ambayo yalikuwa yakiendeshwa na mataifa mbalimbali yamekuwa yamebadilishwa na kufuata mtindo wa makampuni ya kibiashara. Katika mwaka wa 2003, [[Jamhuri ya Watu wa Uchina]] ilibadilisha 80% ya makampuni yanayomilikiwa na serikali na kuyaweka kwenye mfumo sawa na mashirika ya kibiashara.<ref> http://english.people.com.cn/data/China_in_brief/Economy/Major% 20Industries.html</ref>
 
==Usimamizi wa Serikali==
Line 63 ⟶ 62:
* '''Mahitaji ya uwazi.''' Miundo tofauti ya biashara huitajika kutoa kiwango fulani cha habari kwa umma (au kuripoti kwa mamlaka husika),na huitajika kutimiza marshati tofauti tofauti.
 
Watu wawili au zaidi wanaoendesha biashara kwa pamoja lakini wameshindwa kuandaa jinsi maalum ya kujiendesha, wataonekana kama ushirikiano wa ujumla. Sheria ya ushirika ni sehemu ya usimamizi kwa makubaliano ya ushirikiano ikiwa moja imeundwa, na sehemu kwa sheria ya mamlaka ambapo ushirikiano hupo.
 
Mtu binafsi nayemiliki na kuendesha biashara anajulikana kama ''mmiliki pekee ('Sole Propritor'),'' awe ameimiliki kupitia kwa njia rasmi au vingine.
Line 72 ⟶ 71:
#Kwa ujumla, makampuni huhitajika kulipa kodi kama watu "halisi" . Katika baadhi ya mifumo ya kodi, hii inaweza kuleta hali inayojulikana kama [[kodi maradudfu]] kwa sababu kwanza biashara hulipia kodi ya faida, na kisha wakati shirika linasambaza faida zake kwa wamiliki wake, watu binafsi pia hulipa kodi ya mapato.
#Katika nchi nyingi, kuna sheria ambazo huchukulia makampuni makubwa makubwa tofauti na biashara dogo dogo. Zinaweza kuepuka kutimiza marshati fulani,kurahisishwa kwa baadhi ya shughuli na njia tofauti ya kulipa kodi.
#"Kwenda umma" (wakati mwingine huitwa [['IPO')]] - ambayo ina maana ya kuruhusu sehemu ya biashara kuwa inamilikiwa na wawekezaji kwa upana au wananchi kwa ujumla-ni lazima kuandaa mfumo tofauti, ambayo ni kawaida ya sheria na taratibu.
 
===Sheria za kibiashara===
Line 86 ⟶ 85:
Wakati biashara zinataka kuchangisha fedha fedha (iitwayo '[[mtaji]]'), sheria zaidi huhusika. Sheria na kanuni nyingi huelekeza jinsi ya kuuza [[dhamana za]] uwekezaji (njia ya kuongeza fedha) katika nchi nyingi za Magharibi . Kanuni hizi zinaweza kuhitaji kuweka wazi mambo mengi kuhusiana na maswala ya kifedha ya kampuni husika na hivyo kuwapa wanunuzi 'remedies'. Kwa sababu "dhamana" ni neno pana sana, shughuli nyingi za uwekezaji huweza kuwa chini ya sheria hizi, isipokuwa katika visa maalum.
 
Fedha zinaweza kupatikana kupitia njia za binafsi, kwa kutoa hisa kwa umma ('IPO') kwenye [[soko la hisa]], au kwa njia nyingine nyingi. Baadhi ya masoko ya hisa ni kama vile Shanghai Stock Exchange, Singapore Exchange, Hong Kong Stock Exchange, [[New York Stock Exchange]] na [[Nasdaq]] (Marekani), [[London Stock Exchange]] (Uingereza), wa [[Tokyo Stock Exchange]] (Ujapani), na kadhalika.
 
Biashara ambazo zimefanywa za "umma" na usimamamizi mwingi sana kuhusu utawala wa ndani (kama jinsi malipo ya maafisa watendaji hudhamiriwa) na wakati na jinsi habari ni wazi kwa umma zao na wanahisa. Huko Marekani, kanuni hizi za kimsingi kusisitizwa na kutekelezwa na 'United States Securities and Exchange Commission' (SEC). Mataifa mengine ya Magharibi yana viungo vya udhibiti vwa kulinganishwa na hiki. Kanuni hizi husisitizwa na kutekelezwa na 'China Securities Regulation Commission' (CSRC),huko Uchina. Huko Singapore, mamlaka ya udhibiti ni 'Monetary Authority of Singapore' (MAS), na huko Hong Kong, ni 'Securities and Futures Commission' (SFC).
 
Ni vigumu sana kuzitaja sheria zote ambazo huathiri biashara. Kwa kweli, sheria hizi zimekuwa nyingi hadi kwamba hakuna mwanasheria yeyote wa biashara anayeweza kujifunza zote, na kulazimisha kampuni kuongeza umaalumu miongoni mwa wanasheria wake. NI jambo la kawaida kwa wanasheria 5-10 kuhitajika hili kushughulikia aina fulani ya shughuli ya kibiashara, kutokana na jinsi sheria za kuelekeza biashara zilivyo nyingi. Sheria za kibiashara huhusu sheria za ushirika za ujumla , sheria ya ajira na kazi, afya , dhamana, 'M &amp; A' (ambaye anashughulikia mambo ya ununuzi), kodi, 'ERISA'(ERISA Marekani inahusiana na mipango ya faida ya mfanyakazi ), chakula na madawa ya udhibiti , umiliki (hushughulika na 'copyrights', ruhusa, 'Trademarks' na kadhalika), sheria ya mawasiliano ya simu, na zaidi.
 
Nchini Thailand, kwa mfano, ni lazima ''kujiandikisha'' kiasi fulani cha mtaji kwa kila mfanyakazi, na kulipa ada kwa serikali kwa kiwango cha mtaji kilichoandikishwa. Hakuna mahitaji ya kisheria kuthibitisha kuwa mtaji huu kweli hupo, kinachoitajika pekee ni kulipa ada yenyewe.
 
===Umiliki===
Line 101 ⟶ 100:
 
==Angalia Pia==
{{portalLango|Business and economics|NYSE-floor.jpg}}
 
==Vidokezo na marejeo==
{{marejeoMarejeo}}
 
==Viungo vya nje==
{{sisterlinks|Business}}
* [http://www.bbb.org/ Better Business Bureau] US &amp; Kanada
* [http://www.dmoz.org/News/Current_Events/Business_and_Economy/ Biashara Current Events] Open Directory
* [http://www.doingbusiness.org/ Kufanya mradi Biashara - World Bank / IFC]
Line 114 ⟶ 113:
* [http://business.gov/ Business.gov - Small Business Resources kutoka Marekani Small Business Administration]
 
[[CategoryJamii:Biashara]]
 
[[Category:Biashara]]
 
[[ar:عمل تجاري]]