Tandala : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.6.4) (roboti Badiliko: ja:ブッシュバック属
Nyongeza jina
Mstari 24:
''[[Tragelaphus sylvaticus|T. sylvaticus]]'' <small>[[Anders Erikson Sparrman|Sparrman]], 1780</small>
}}
'''Tandala''' ni [[mnyama|wanyama]] wa [[jenasi]] ''[[Tragelaphus]]'' katika [[familia (biolojia)|familia]] [[Bovidae]]. Spishi nyingine huitwa [['''bongo]]''', [['''kulungu]]''', [['''nyala]]''' au [['''nzohe]]'''. Wanatokea [[Afrika]] katika maeneo yenye [[mti|miti]] kutoka nyika hadhi msitu. Wana milia na madoa nyeupe juu ya rangi ya [[kahawa]] au kijivu. Dume ni kubwa kuliko jike na ana pembe ndefu zilizopopotolewa. Jike hana pembe. Wanyama hawa hula [[jani|majani]], [[nyasi|manyasi]], [[tunda|matunda]] na [[kiazi|viazi]] vya gugu.
 
==Spishi==
Mstari 32:
* ''Tragelaphus imberbis'', [[Tandala Mdogo]] ([[w:Lesser Kudu|Lesser Kudu]])
* ''Tragelaphus scriptus'', [[Nyala-nyika]] ([[w:Kéwel|Kéwel]])
* ''Tragelaphus spekii'', Nyala-maji au [[Nzohe]] ([[w:Sitatunga|Sitatunga]])
* ''Tragelaphus strepsiceros'', [[Tandala Mkubwa]] ([[w:Greater Kudu|Greater Kudu]])
* ''Tragelaphus sylvaticus'', [[Kulungu (Bovidae)|Kulungu]], Mbawala au Pongo ([[w:Imbabala|Imbabala]] au Bushbuck)