George Porter : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: left|80px '''George Porter''' (amezaliwa 6 Desemba, 1920) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza hali za ulinganifu wa [[moleku...
(Hakuna tofauti)

Pitio la 09:20, 14 Agosti 2007

George Porter (amezaliwa 6 Desemba, 1920) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza hali za ulinganifu wa molekuli. Mwaka wa 1967, pamoja na Manfred Eigen na Ronald Norrish alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia. Mwaka wa 1972 alipewa cheo cha "Sir".