Amfibia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.6.4) (roboti Nyongeza: sn:Dzekurarama kuviri
Masahihisho
Mstari 9:
| nusufaila = [[Vetebrata]] (wenye uti wa mgongo)
| ngeli = Amfibia
| subdivision = Oda 3:<br>
| subdivision_ranks = Subclasses and Orders
[[Anura]] (Vyura)<br>
| subdivision =
[[Caudata]] (Salamanda)<br>
[[Gymnophiona]] (Salamanda wasio na miguu)
}}
'''Amfibia''' ni kundi la wanyama wenye uti wa mgongo na [[damu baridi]] ambao wanaanza maisha kwenye maji na baada ya kupita [[metamofosisi]] wanaweza kuendelea kwenye nchi kavu katika kipindi cha pili cha maisha yao. [[Chura|Vyura]], [[ngele]], [[salamanda]] na [[mjusi|mijusi]] wasio na miguu wamo katika ngeli hii.
 
 
'''Amfibia''' ni kundi la wanyama wenye uti wa mgongo na [[damu baridi]] ambao wanaanza maisha kwenye maji na baada ya kupita [[metamofosisi]] wanaweza kuendelea kwenye nchi kavu katika kipindi cha pili cha maisha yao. [[Vyura]], [[ngele]], [[salamanda]] na [[mijusi]] wasio na miguu wamo katika ngeli hii.
 
Jina la kisanyansi "amfibia" linaunganisha maneno mawili ya [[Kigiriki]] ἀμφί ''amphi'' yaani "pande zote mbili" na βίος ''bios'' yaani "maisha" kwa jumla "maisha pande zote mbili" yaani ndani ya maji na kwenye nchi kavu.
Mstari 28:
== Uainishaji ==
* Ngeli ''Amfibia''
** Oda ''Anura'' ([[vyuraChura|Vyura]])
** Oda ''Caudata'' ([[salamandaSalamanda]])
** Oda ''Gymnophiona'' (wanaofanana na [[nyoka]] au [[mjusi|mijusi]] bila miguu lakini si [[reptilia]])
 
{{commonscat|Amphibia}}