Afrika ya Mashariki ya Kijerumani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
nyongeza
No edit summary
Mstari 42:
Hapa alifaulu kushawishi watawala wa Usagara, Nguru, Useguha und Ukami kumpa sahihi kwenye mikataba ya Kijerumani ambayo hawakuelewa. Mikataba hii ilisema ya kwamba mtawala alikabidhi nchi yake pamoja na haki juu ya ardhi na mali yote kwa kampuni.
 
1885 Peters alirudi Berlin na kuonyesha mikataba yake kwa magazeti na serikali. [[Chansela Bismarck]] alikataa akacheka mikataba kama karatasi bila maana. Peters alitumia mbinu akatisha kupeleka mikataba yake kwa mfalme [[Leopold II wa Ubelgiji]] aliyekuwa kununua haki zake. Hapa Bismarck aliogopa kilio cha wapenda koloni akakubali kumpa Peters barua ya ulinzi kwa maeneo yalikuwa ya kampuni kufuatana na mikataba.
 
== Upanuzi wa eneo la kampuni ==
===Upanuzi na ugomvi na Zanzibar===
Peters na wawakilishi wake walirudi wakaendelea kutafuta machifu waliokuwa tayari kutia saini mikataba yake. Sultani ya Zanzibari alipinga juhudi hizi. Zanzibar ilisimamia pwani la Afrika ya Mashariki na tangu karne watu wa miji ya pwani walikuwa na [[wali|mawali]] wa Sultani. Zanzibar ilidai pia utawala ya bara hadi maziwa[[Ziwa makubwaTanganyika]] na Kongo ingawa hali halisi athira yake haikuenda mbali na njia za misafara ambako ndovu na watumwa walipelekwa pwani. Tarehe 27 Aprili 1885 serikali ya Zanzibar ilituma barua [[Berlin]] kupinga kazi na madai ya kampuni na kutangaza maeneo ya ya tanzania ya leo kama milki yake. Iliongeza pia wanajeshi wake barani zilizokuwa chini ya amri ya mwanajeshi mstaafu Mwingereza Matthews. Hapa serikali ya Berlin ilituma kikosi cha manowari kwenda Bahari Hindi.
 
Mwezi wa Agosti manowari za Kijerumani chini ya amri ya [[admirali]] [[Eduard von Knorr]] zilifika mbele ya Unguja zikalenga mizinga yao kwa ikulu ya sultani. Akishauriwa na balozi wa Uingereza Sultan Bargadh alipaswa kutoa tamko kuwa "Kutokana na madai tunayopelekewa kwa matishio na Kaisari wa Ujerumani tunatambua ulinzi wa Ujerumani juu ya nchi za Usagara, Ngurow, Useguha, Ukami na juu ya wilaya ya Witu. Mipaka yake itaelezwa baadaye na sisi tunatambua ulinzi wa Kaisari juu ya mahali palipotajwa." <ref> nukuu ya Kiingereza katika [http://othes.univie.ac.at/1397/1/2008-09-19_5900039.pdf Franz Kotrba: William Astor Chanler (1867-1934) und Ludwig von Höhnel (1857-1942) und Afrika, Vienna 2008]</ref>. Sultani alipaswa pia kutia sahihi mkataba wa biashara na Ujerumani alipokubali haki nyingi kwa Wajerumani katika milki yake. <ref>Mkataba inapatikana kwa Kiingereza na Kijerumani kwa [http://de.wikisource.org/wiki/Freundschafts-,_Handels-und_Schiffahrtsvertrag_zwischen_dem_Deutschen_Reich_und_dem_Sultan_von_Zanzibar wikisource]</ref>.