Kiswahili : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 2:
'''Kiswahili''' ni lugha ya [[Kibantu, lugha|Kibantu]] yenye misamiati mingi ya [[Kiarabu]] inayozungumzwa katika eneo kubwa la [[Afrika ya Mashariki]].
 
Lugha hii ina utajiri mkubwa wa misamiati na, misemo na, mithali na, mashairi na, mafumbo na, vitendawili na nyimbo. NayoKiswahili inatumikahutumika katika mashule kufundishia elimu mbali mbali za dini na dunia,mashuleni na kuna vitabu vingi vilivyotungwa kwa kutumia lugha hii, vikiwa vya hadithi au, hekaya au riwaya.
 
== Historia ya lugha ==
Mstari 23:
Kiswahili kimekuwa [[lugha rasmi]] katika nchi zifuatazo:
 
* '''[[Tanzania]]''': Lugha ya taifa; ni lugha ya shule za msingi, lugha ya utawala serikalini na mahakamani; inatumika kote nchini, kanisani, kwenye misikiti, kwa redioredioni, runinga na idadi kubwa ya magazeti.
 
* '''[[Kenya]]''': ni lugha ya taifa lakini Kiingereza ni lugha rasmi ya Kiutawala; Kiswahili ni lugha ya kwanza ya mawasiliano kati ya wanachi wakikutana nje ya eneo penye kabila moja tu; ni lugha inayofundishwa lakini si lugha ya kufundisha mashuleni; ni lugha inayotumika na polisi na jeshi, ni lugha ya kuhutubia wanachi mjini na kitaifa; sehemu za ibada makanisani inatumia Kiswahili; kuna gazeti moja tu la Kiswahili; sehemu za programu redioni na kwenye runinga ni kwa Kiswahili. Lugha inachanganywa mara nyingi na Kiingereza na lugha za maeneo au kikabila. Hata hivyo baada ya rasimu ya katiba mpya kupitishwa mnamo tarehe 4, Agosti 2010, Kiswahili sasa kitakuwa lugha rasmi, sawa na Kingereza.