Uruguay (mto) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: fa:رود اروگوئه
No edit summary
Mstari 17:
}}
 
'''Uruguay''' ni mto katika [[Amerika Kusini]]. Pamoja na [[mto Parana]] unaishia katika [[Rio de la Plata]].
Jina la Uruguay lamaanisha "mto wa ndege ya rangi nyingi".
 
Chanzo kikochake katikani [[Brazil]] ya Kusini kwenye jimbo la Santa Catarina. MwanzoniMwanzo mtowake ni mpaka kati ya majimbo ya Santa Catarina na Rio Grande do Sul ndani ya Brazil; baadayabaada ya mpaka kati ya Brazil na [[Argentina]], halafu kati ya Argentina na [[Uruguay]].
 
Jina la nchi ya Uruguay limetokana na mto huu. Asili ya jina la nchi ni "Jamhuri upande wa magharibi ya mto Uruguay".
 
Meli haziingii sana ndani ya Uruguay kutokana na maporomoko yake.