Biomasi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d roboti Badiliko: ca:Agromassa |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Image:Panicum virgatum.jpg|thumb|[[Switchgrass]] ni aina ya nyasi inayotumiwa kwa kuzalisha biofueli huko Marekani]]
[[Image:rice chaffs.jpg|thumb|180px|Maganda ya [[mpunga]].]]
'''Biomasi''' ni dhana muhimu katika ekolojia na ni namna ya kuangalia upande wa kimwili wa uhai duniani ni pia dhana muhimu katika maswali ya uzalishaji wa [[nishati]] hasa [[nishati mbadala]].
==Jumla ya miili ya viumbehai==
Kimsingi biomasi ni jumla ya miili ya
Kiasi kikubwa ni [[mimea]] lakini miili ya [[wanyama]] au [[planktoni]] huhesabiwa
Msingi wa biomasi ni mchakato wa [[usanisinuru]] katika mimea ambako nishati ya jua inawezesha mmea kujenga mwili wake kwa kuunganisha kemikali asilia kutoka mazingira yake.
|