Uvukizaji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: ne:वाष्पिकरण
kiungo
Mstari 5:
Kama [[molekuli]] katika kiowevu zinapashwa moto mwendo wao unaongezeka. Zinagonganagongana na kuachana mbali zaidi hadi kuwa gesi.
 
Katika [[metorolojia]] uvukizaji ni hasa mwendo wa maji kuwa [[mvuke]] au gesi. Mwendo huu ni nguvu muhimu sana katika [[duara ya maji]] duniani. Maji ya baharini au unyevu nchini yanapashwa moto hasa na mionzi ya jua hadi kuwa mvuke unaopanda juu kuwa mawingu.
{{mbegu-sayansi}}