Mkoa wa Iringa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
nyongeza na mpangilio
Mstari 3:
[[Image:Iringa_Regionen.png|right|260px|thumb|Wilaya za Mkoa wa Iringa na mikoa jirani]]
 
'''Mkoa wa Iringa''' ni moja kati ya mikoa 26 za [[Tanzania]]. ImepakanaUmepakana na mikoa ya jirani ya [[Mkoa wa Morogoro|Morogoro]], [[Mkoa wa Ruvuma|Ruvuma]], [[Mkoa wa Mbeya|Mbeya]], [[Mkoa wa Singida|Singida]] na [[Mkoa wa Dodoma|Dodoma]]. Mkuu wa Mkoa ni Halima Y. Kasungu.
 
==Jiografia==
Mkoa wa Iringa uko katika Nyanda za Juu za Kusini mwa Tanzania. Mkoa huu unapakana na ukanda mkavu wa kati wa Tanzania katika upande wa kaskazini na kupakana kusini na Ziwa Nyasa. Mkoa wa Iringa umetanda kati ya latitudo 7º 05˝ na 12º 32˝ kusini, na longitude 33º 47˝ hadi 36º 32˝ mashariki mwa Meridian. [[Ziwa Nyasa]] linatenganisha Mkoa wa Iringa na nchi ya Malawi upande wa kusini Magharibi mwa Tanzania.
 
Mkoa wa Iringa una eneo lenye ukubwa wa jumla ya km² 58,936. Wastani wa asilimia 74 ya eneo hili linafaa kwa shughuli za kilimo ambalo ni sawa na km² 43,935. Eneo linalobakia la km2 15,001 ni eneo la maji, hifadhi ya mbuga za wanyama, milima na misitu.
 
==Wakazi==
Mwaka 2002 palikuwa na wakazi 1,495,333 [http://www.tanzania.go.tz/census/census/iringa.htm] katika wilaya zifuatazo: [[Iringa Kijijini]] (wakazi 245,623), [[Wilaya ya Mufindi|Mufindi]] (wakazi 283,032), [[Wilaya ya Makete|Makete]] (wakazi 106,061), [[Wilaya ya Njombe|Njombe]] (wakazi 420,348), [[Wilaya ya Ludewa|Ludewa]] (wakazi 128,520), [[Iringa Mjini]] (wakazi 106,668), na [[Wilaya ya Kilolo|Kilolo]] (wakazi 205,081).