Tofauti kati ya marekesbisho "Maji kujaa na kupwa"

No change in size ,  miaka 10 iliyopita
no edit summary
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|160px|Bandari ya Alma katika Kanada kwenye pwani la Atlantiki wakati wa maji kujaa na kupwa. '''Maji kujaa na kupwa''' ni mabadi...')
 
No edit summary
[[File:Bay of Fundy.jpg|thumb|160px300px|Bandari ya Alma katika Kanada kwenye pwani la Atlantiki wakati wa maji kujaa na kupwa.]]
'''Maji kujaa na kupwa''' ni mabadiliko ya uwiano wa bahari unaopanda na kushuka kila siku. "Maji kujaa" ni hali ya juu na "maji kupwa" ni hali ya chini ya maji ya bahari. Tofauti kati ya hali hizi inaweza kufikia hadi mita kadhaa.