Afrika ya Mashariki ya Kiingereza : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Stamp British East Africa 1896 2.5a.jpg|right|120px|thumb|Stempu ya posta ya 2 1/2 annas, 1896]]
 
'''Afrika ya Mashariki ya Kiingereza''' ilikuwa jina kwa ajili ya eneo la [[Kenya]] lililowekwa chini ya [[utawala wa ulinzi]] wa Unigereza katika miaka ya 1895 hadi 1920.
 
[[Kampuni ya Kifalme ya Kiingereza kwa Afrika ya Mashariki]] ilianza shughuli zake katika eneo hili kwa kibali cha sultani ya [[Zanzibar]] kuanzia mwaka 1888.
Kampuni ilitakiwa kuwa na mamlaka juu ya eneo hili lakini uwezo wake haukutosha kutimiza shughuli hasa maandalizi ya kujenga [[reli ya Uganda]] kati ya Mombasa na UgandaKampala.
 
Baada ya azimio la kujenga reli [[Uingereza]] iliona haja ya kulinda eneo la reli hiyo ikatangaza eneo lote kati ya Mombasa na Uganda kuwa chini ya ulinzi wake kuanzia tar. 01.07.1895. Hivyo mipango ya kujenga reli ilikuwa mwanzo wa koloni ya Afrika ya Mashariki ya Kiingereza iliyokuwa Kenya baadaye. Eneo la utawala wa kiingereza lilipanushwa zaidi hadi kukutana na maeneo chini ya utawala wa [[Italia]] ([[Somalia]]) na [[Ethiopia]] upande wa Kaskazini na eneo chini ya utawala wa ushirikiano wa [[Misri]] na Uingereza ([[Sudan]]). Upande wa kusini mpaka ulifuata mapatano na [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]].
Kampuni ilitakiwa kuwa na mamlaka juu ya eneo hili lakini uwezo wake haukutosha kutimiza shughuli hasa maandalizi ya kujenga reli kati ya Mombasa na Uganda.
 
Mpaka na eneo chini ya utawala wa ulinzi wa [[Uganda]] ulisahihishwa mwaka 1905; hadi wakati ule sehemu kubwa ya eneo la Kenya ya Magharibi ya leo ilihesabiwa kuwa upande Uganda.
Mwaka 1895 serikali ya London iliamua kutawala eneo la Afrika ya Mashariki ya Kiingereza lililohesabiwa kuwa eneo chini ya hifadhi ya Uingereza.
 
Baada ya vita kuu ya kwanza hali ya eneo lilibadilishwa kuwa koloni ya Kenya kuanzia 1920.