Madini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Badiliko: hu:Ásvány (anyag)
kiungo
Mstari 4:
Kuna takriban madini 4,000 yaliyogunduliwa duniani. [[Mwamba (jiolojia)|Miamba]] yote yanaundwa na madini na kuna hasa madini 30 yanayounda sehemu kubwa ya miamba duniani. Miamba kwa kawaida huwa na madini mbili au zaidi ndani yake.
 
Madini yapo kila mahali. Katika mazingira yetu kila jiwe limeundwa na madini. Ardhi ya shamba ina kiwango kikubwa cha madini ni punje za mchanga ambao ni mawe yaliyosagwa. Tukiwasha taa kuna madini kwenye uzi la kuwaka na umeme umefika kwenye taa kupitia [[shaba]] ya waya; na shaba hii ni madini. Seli za mwili wetu huhitaji madini na hivyo ni muhimu ya kwamba [[chakula]] chetu kina kiasi kidogo cha madini ya lazima kama [[chuma]] au [[kloridi]].
 
Madini kadhaa hupendwa kama [[vito]] (johari, mawe ya thamani) au pia [[dhahabu]].