Rupia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Rupia''' ni jina la pesa inayotumika leo [[India]] na nchi mbalimbali za [[Asia]]. Ni pia jina la pesa iliyowahi kutumika [[Afrika ya Mashariki]] na nchi mbalimbali.
 
==Jina na historia==
Neno "rupia" limetokana na lugha ya kihindi ya kale "rūp" au "rūpā" linalomaanisha "fedha". Katika lugha ya [[Sanskrit]] "rupyakam" (रूप्यकम्) inamaanisha [[sarafu]] ya [[fedha]]. Hii ni asili ya "Rūpaya" iliyotumika katika India kama sarafu yenye gramu 178 za fedha tangu 1540 . Rupia moja ilikuwa na 16 Anna, 64 Paisa au 192 Pai.
 
==Pesa ya kisasa==
Mstari 23:
* Katika nchi jirani za India kama vile [[Bhutan]], [[Burma]], [[Sri Lanka]], [[Afghanistan]]
* Katika maeneo ya Ghuba ya Uajemi
* [[Somalia]] ya Kiitalia
* huko [[Indonesia]] wakati wa uvamizi wa Japon[[Japan]] 1940-1945