Sabato : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 21:
Kwa mfano ni marufuku kuwasha moto, kuandika, kutekeleza kazi yoyote kwa chombo, kununua au kuuza kitu, kugusa hela.
 
[[Wayahudi Waorthodoksi]] hutunza masharti hadi leo. Wataalamu wameendelea kuangalia mapokeo ya Talmudi katika mazingira ya kisasa. Shart ya kutowasha moto imeendelezwa ya kutowasha taa hata za umeme ikaendelezwa kutobonyeza swichi yoyote siku ya Sabato. Lakini inaruhusiwa kutumia mitambo inayofuata saa au programu na kuwacha taa au mashine bila mtu kugusa. Vilevile hawaendeshi gari kwa sababu kuwasha injini ni sawa na kuwasha moto.
 
[[Wayahudi huria]] hawachukui amri hizi vikali vile. Kwa mfano Myahudi huria asingeandika chochote kinachohusika kazi yake lakini hana tatizo la kuandika barua isiyo ya kikazi. Atajaribu kuepukana na tendo la kununua kitu dukani lakini kama kuna haja ataifanya.