Tanzanaiti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Tansanit nature.jpg|thumb|200px|<center>Kito cha Tanzanaiti katika hali asilia]]
[[Image:Tanzanite cut.jpg|thumb|200px|Tanzanaiti baada ya kukatwa na kung'arishwa]]
'''Tanzanaiti''' ni [[kito]] chenye rangi ya buluu hadi dhambarau na kijani. Inachimbwa katika kaskazini ya [[Tanzania]].
 
Tanzanaiti iligunduliwa mara ya kwanza mwaka [[1967]] katika milima ya Meralani karibu na mji wa [[Arusha]]. Kito inapendwa sana kimataifa bei zake zilicheza kati ya dola za Marekani 250 na 500 kwa karati moja (=milli[[gramu]] 200).