Kuhani mkuu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
nyongeza
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:PLATE4DX.jpg|thumb|right|200px|Kuhani mkuu akisaidiwa na [[Mlawi]].]]
'''Kuhani mkuu''' ni cheo kikuu cha [[kuhani]] katika [[dini]] penye ngazi mbalimbali ya ukuhani. Hasa penye mahekaluma[[hekalu]] makubwa yenye makuhani wengi, mmoja aliweza kuwa na nafasi ya kiongozi na kuitwa kuhani mkuu.
 
Katika dini za [[Sumeri]], [[Babeli]] na [[Misri ya Kale]] walikuwepo pia makuhani wakuu waliokuwa viongozi wa kidinidini kwa [[ufalme]] wote. Katika Babeli kulikuwa pia na makuhani wakuu wa [[mwanamke|kike]].
 
==Katika [[Biblia]]==
Katika [[Israeli ya Kale]] Kuhani Mkuu (kwa [[Kiebrania]] '''כהן גדול''' ''kohen gadol'') alikuwa kiongozi mkuu pekee wa [[ibada]] za [[dini]] ya [[Uyahudi]] tangu mwanzo wa taifa la [[Israeli]] hadi mwaka [[70]] [[B.K.]], [[hekalu la Yerusalemu]] lilipobomolewa moja kwa moja.
 
Line 10 ⟶ 11:
Wakati wa [[Yesu]] alikuwa mwenyekiti wa [[Baraza la Taifa la Israeli]] lenye wajumbe 70 chini yake. Chini ya utawala wa Dola la Roma kuhani mkuu wa Yerusalemu alikuwa pia na wajibu wa kisiasa kama kiongozi wa Wayahudi nchini.
 
[[Waraka kwa Waebrania]] katika [[Agano Jipya]] unamtambulisha [[Yesu Kristo]] mwenyewe kuwa kuhani mkuu wa milele kufuatana na utaratibu wa [[Melkisedeki]], ukisisitiza ubora wake kulingana na makuhani wa [[Agano la Kale]].
Tangu kubomolewa kwa Hekalu ya Yerusalemu
 
==Viungo vya nje==
Line 21 ⟶ 22:
[[Category:Historia ya Israeli]]
[[Category:Uyahudi]]
[[Category:Ukristo]]
[[Category:Viongozi wa dini]]