Content deleted Content added
 
Mstari 27:
 
Ndugu Kandyzo, salaam! Wakati wa shindano, makala nyingi zimeanzishwa bila kuwekewa yaliyomo hata kidogo, nasi wanawikipedia hatukuwa na nafasi ya kurekebisha sana. Kwa hiyo sasa, naomba tusaidiane kusawazisha hizo makala. Kwa mfano, ungeweza kuanza kwa kuangalia [http://sw.wikipedia.org/wiki/Maalum:KurasaZisizonajamii orodha ya makala bila jamii]. Bila shaka utagundua kadhaa ambazo ni duni, labda yenye maneno mawili matatu tu. Ndivyo nilivyogundua k.m. na makala ya [[Henri Fayol]], mhandisi Mfaransa wa karne ya 19. Sasa ukiangalia [http://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Henri_Fayol&action=historysubmit&diff=364028&oldid=337882 mabadiliko niliyoyaingiza] utapata mambo ya msingi ya wikipedia. K.m. naingiza kigezo cha '''<nowiki>{{DEFAULTSORT}}</nowiki>''' kwa ajili ya orodha ya makala katika jamii ifuate alfabeti vizuri. Tena naingiza jamii za miaka ya kuzaliwa (k.m. '''<nowiki>[[Jamii:Waliozaliwa 1841]]</nowiki>''') na ya kufariki (k.m. '''<nowiki>[[Jamii:Waliofariki 1925]]</nowiki>'''). Pia, ikiwa ni makala fupi bila maelezo mengi, naingiza kigezo cha '''<nowiki>{{mbegu-mtu}}</nowiki>''' (yaani kama ni mtu). Hatimaye, naingiza kiungo kwa wikipedia ya Kiingereza (k.m. '''<nowiki>[[en:Henri Fayol]]</nowiki>''') ambapo naweza kupata code kwa picha ya mtu (k.m. '''<nowiki>[[Image:Fonds henri fayol.jpg|thumb|right|Henri Fayol]]</nowiki>''') pamoja na habari nyingine. Nitashukuru kwa msaada wako katika kuboresha makala mpya zilizoachwa duni. Wasalaam, --'''[[Mtumiaji:Baba Tabita|Baba Tabita]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Baba Tabita|majadiliano]])''' 10:59, 2 Februari 2010 (UTC)
 
== Kenyan Wikipedian Stories ==
 
Hi!
 
My name is Victor Grigas and I'm a storyteller with the Wikimedia Foundation in San Francisco. I'm chronicling the inspiring stories of the Wikipedia community from around the world. Stories are critical to inform and inspire the general public to support the Wikipedia movement by donating their money or to become volunteers themselves.
 
After seeing this inspiring story about Kenya's very own Gabriel Nderitu -
 
http://newsfeed.time.com/2010/10/26/kenyan-man-builds-airplane-in-yard-based-mostly-on-wikipedia-entries/
 
and hearing about the 'Project for Kenyan Schools', I thought that it might be fruitful to plan a trip to Kenya to interview Kenyan Wikipedians face-to-face.
 
I would need to confirm that I have at least 15 people to speak with who may have interesting stories about Wikipedia to make the trip worth the money. If needed, I could hire a translator. My understanding is that iHub in Nairobi hosts Wiki-meetups once a month. It may be feasible to attend a meetup there and interview people individually after that?
 
Please let me know what you think, I would very much like the opportunity to represent Wikimedia Kenya in the fundraiser this year.
 
I am sending this message to everyone I can reach at Wikimedia Kenya. Please let me know if there is a more formalized process to reach people.
 
Thank you for your time,
 
Victor Grigas
 
[[user:Victorgrigas]]
 
vgrigas@wikimedia.org
 
'''[[Mtumiaji:Vgrigas|Vgrigas]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Vgrigas|majadiliano]])''' 21:01, 2 Aprili 2012 (UTC)