Zanj : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
nyongeza kadhaa
Mstari 21:
 
==Uasi wa Zanj 869 - 883==
Maisha ya watumwa yalikuwa ngumu mno wakitendewa vibaya na mabwana na kuanzia mwakaSeptemba [[869]] BK walianza kuasi dhidi ya hali hiyo.
 
Wakiongozwa na Mwajemi [[Ali bin Muhammad]] walichukua silaha na kupigania uhuru wao. Huyu Ali alidai ya kwamba alitoka katika ukoo wa [[Ali ibn Abu Talib]] akajitangaza kuwa [[mahdi]] na kudai ni yeye atakayekamilisha Uislamu wa kweli.
Mstari 27:
Wazanj walifaulu mara kadhaa kushinda jeshi za [[Khalifa]] wa [[Baghdad]] wakateka mji wa [[Basra]] mwaka [[871]]. Wakajenga miji yao na Mukhtara ikawa mji mkuu wa mahdi.
Mwishowe Baadaye jeshi la khalifa lililoimarishwa kwa vikosi kutoka [[Misri]] likafaulu katika mwezi wa Agosti [[883]] kuteka al-Mukhtara na kumaliza uasi. Ali alikatwa kichwa na Wazanj wasiouawa wakarudishwa utumwani.
 
Baadaye Waarabu hawakuweka tena watumwa wengi hivi mahali pamoja kwa hofu ya uasi mpya.