Pasaka : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.6.4) (Roboti: Imeongeza bn:ইস্টার
+ tarehe Pasaka
Mstari 4:
[[Picha:Easter eggs - straw decoration.jpg|thumb|left]]
 
'''Pasaka''' ni jina la [[sikukuu]] muhimu katika dini za [[Uyahudi]] na [[Ukristo]]. Jina la Pasaka limetokana na neno la [[Kiebrania]] "פסח" (tamka: pasakh).
 
* '''[[Pasaka ya Kiyahudi]]''' ni sikukuu ya kumbukumbu kwa kutoka kwa [[Wanaisraeli]] kutoka [[Misri]] wakati wa [[Musa]] mnamo miaka 1200 [[KK]].
Mstari 11:
 
Taarifa za [[Agano Jipya]] zinatoa habari ya kuwa kifo na kufufuka kwa Yesu yametokea wakati wa sikukuu ya Pasaka ya Kiyahudi. Kwa hiyo jina la sikukuu hiyo imeendelea kutumikwa kwa ajili ya sherehe ya kikristo.
 
==Tarehe ya Pasaka==
Pasaka ni sikukuu inayobadilika tarehe yake katika [[kalenda]] ya kawaida kila mwaka.
 
Pasaka ya Kiyahudi inafuata kalenda ya Kiyahudi ni tarehe 15 Nisan ambayo ni siku baada ya mwezi mpevu wa kwanza baada ya [[sikusare]] ya machipuko (mnamo 21 Machi).
 
Pasaka ya Kikristo inaunganisha siku ya Jumapili (ni jumapili kila mwaka kwa sababu hii ni siku ya ufufuo katika mapokeo ya kikristo) pamoja na kumbukumbu ya pasaka ya Kiyahudi. Tangu [[mtaguso wa Nikea]] Wakristo walipatana kusheherekea Pasaka kwenye [[jumapili]] ya kwanza baada ya [[mwezi mpevu]] unaotokea baada ya [[sikusare]] ya 21 Machi. Kwa hiyo Pasaka inaweza kutokea kati ya 22 Machi hadi 25 Aprili.
 
Tangu masahihisho ya [[kalenda ya Juliasi]] na kuanzishwa kwa [[kalenda ya Gregori]] mara nyingi kuna tofauti kati ya Pasaka ya kimagharibi (kanisa katoliki na makanisa ya kiprotestanti) na Pasaka ya Kimashariki ya makanisa ya Kiorthodoksi kwa sababu [[Waorthodoksi]] wanaendelea kutumia kalenda ya Juliasi kwa ajili ya kukadiria sikukuu zao.
 
== Majina ya Pasaka ya Kiyahudi na Pasaka ya Kikristo katika lugha mbalimbali ==