Mkoa wa Dar es Salaam : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
== Dar es Salaam ==
'''Dar es Salaam''' ni kati ya mikoa 26 ya Tanzania. Eneo la mkoa ni Jiji la [[Dar es Salaam]]. Imepakana na Mkoa wa Pwani pande zote barani na Bahari Hindi upande wa mashariki.
 
Kuna wilaya tatu za Kinondoni (wakazi 1,088,867), Ilala (wakazi 637,573) na Temeke (wakazi 771,500) ambazo kila moja ina hali ya mji. Namba hizi ni za 2002, kwa ujumla idadi ya wakazi hukadiriwa kuwa imefika mnamo milioni 3.
 
Eneo la mkoa ni 1,800 km² pamoja na visiwa vidogo 8 na eneo la bahari kati ya pwani na visiwa hivi. Eneo la nchi kavu pekee ni 1,393 km².
Eneo la mkoa ni 1,393 km².
 
Wakazi wa eneo la mkoa walikuwa kiasili [[Wazaramo]] pamoja na makabila madogo kama vile Wandengereko na Wakwere. Kutokana na kukua na kupanuka kwa jiji kuna makabila yote.
 
==Viungo vya nje==