Kiukaan : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kiukaan''' ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waukaan. Mwaka wa 1973 idadi ya wasemaji wa Kiukaan ...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 20:06, 4 Juni 2012

Kiukaan ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waukaan. Mwaka wa 1973 idadi ya wasemaji wa Kiukaan imehesabiwa kuwa watu 18,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiukaan kiko katika kundi la Kibenue-Kongo.

Viungo vya nje

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiukaan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.