Kirukanjia (mamalia) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Roboti: Imeondoa: lv:Cirslis (deleted)
dNo edit summary
Mstari 12:
| bingwa_wa_familia = [[Gustav Adolf Fischer|G. Fischer]], 1817
| subdivision = Nusufamilia 3<br>
[[Crocidurinae]] ([[Kirukanjia Meno-meupe|Virukanjia meno-meupe]]) <small>[[Henri Milne-Edwards|Milne-Edwards]], 1872</small><br>
[[Myosoricinae]] ([[Kirukanjia wa Afrika|Virukanjia wa Afrika]]) <small>[[Miklós Kretzoi|Kretzoi]], 1965</small><br>
[[Soricinae]] ([[Kirukanjia Meno-mekundu|Virukanjia meno-mekundu]]) <small>[[Johann Fischer von Waldheim|Fischer von Waldheim]], 1814</small>
}}
'''Virukanjia''' ni [[mnyama|wanyama]] wadogo wanaofanana na [[kipanya|vipanya]] wenye [[pua]] refu, lakini wanyama hawa si [[mgugunaji|wagugunaji]] ([[oda]] [[Rodentia]]) na hula [[mdudu|wadudu]] na [[nyungunyungu]] hasa lakini [[mbegu]] na [[kokwa|makokwa]] pia na [[spishi]] chache hukamata [[samaki]] wadogo. Meno yao yamechongoka yenye ncha kali. Virukanjia ni wadogo sana. Spishi kubwa kabisa ina sm 15 na uzito wa g 100; ile dogo kabisa ina sm 3.5 tu na uzito wa g 2 ([[Kirukanjia wa Etruski]], mamalia wa ardhi mdogo kabisa duniani). Rangi yao ni nyeusi, kijivu au kahawia.